visit here again on mukebez.blogspot.com


CHANGE YOUR LIFE

CHANGE YOUR LIFE
Go to Amazon .com and get the copy of this book to make your life better.

Jumapili, 18 Mei 2014

UMOJA WA WATANZANIA UJERUMANI WAANZISHA TOVUTI.

Umoja wa Watanzania Ujerumani (U T U) Umezindua Mtandao wake leo hii Tarehe 19.05.2011, mjini Aschaffenburg ujerumani. Mtandao huo ambao umeaza kutumika kwa lugha ya Taifa ya Ujerumani (kijerumani) upo mbioni pia kutandaza habari kwa lunga za kimataifa ikiwemo kiswahili. Akiongea na vyanzo vyetu vya habari mwenyekiti wa umoja huo mheshimiwa Mfundo Peter Mfundo amewataka wanachama wa U T U na Watanzania wote kwa Ujumla kuwa na subira kidogo kwani mtandao huo utaanza kupatikana kwa lugha ya kiswahili kwa ajili ya kuwapasha kila taarifa na kinachoendelea kutoka kwenye umoja wenu.
Mtandao huo unapatikana katika www.ututz.com
au http// www.ututz.com
kwa mawasiliano zaidi wasiliana na kamati.utu@googlemail.com
kamati ya UTU inawatakia kila la heri katika kurambaza kwenye mtandao wetu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni