visit here again on mukebez.blogspot.com


CHANGE YOUR LIFE

CHANGE YOUR LIFE
Go to Amazon .com and get the copy of this book to make your life better.

Jumanne, 26 Aprili 2016

TAZAMA MSICHANA HUYU WA KAZI ALICHOMUWEKEA BOSI WAKE KWENYE JUICE.

PICHA;DADA WA KAZI AKIWEKA MKOJO KWENYE JUICE YA BOSS WAKE.

Familia moja huko Kuwait ambayo imeamua kuficha utambulisho wake imepost katika mtandao video inayomuonesha dada wa kazi wa familia hiyo akiweka mkojo ulioaminika kuwa ni wa kwake kwenye juice ya bosi wake.



Video hiyo ambayo ilichukuliwa kwa kutumia kamera za siri zilizowekwa ndani ya nyumba ya familia hiyo ilimuonesha dada huyo kumimina mkojo huo katika juice ambayo alikuwa anamuandalia bosi wake huyo.
Familia hiyo ilitahadhalisha watu wengine kuwa makini na wadada wa kazi na kutokuwaamini kupita kiasi.

Kama una maoni yoyote unaweza kutuandikia hapa nasi tutakutana nayo na kujibu kama kuna swali.usisahau kushare machapisho yetu kwa kubonyeza vitufe hapo chini vya facebook,twitter nk.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni