
PICHA;FAST & FURIOUS COMING SOON

Staa wa movie series the FAST & FURIOUS VAN DIESEL ameshare kwenye mtandao wake wa twitter picha mbalimbali zikionesha ujio wa Movie mpya ya FAST & FURIOUS 8 zikionesha maeneo mbalimbali ambapo movie hiyo inaandaliwa pamoja na kumtambulisha muigizaji mpya anaechukua nafasi ya marehemu paul walker. FANYA KUZIANGALIA HAPA BAADHI YA PICHA HIZO.


PICHA;MZEE WA KAZI VAN DIESEL.

PICHA;BEHIND THE ... FAST &FURIOUS 8.


BEHIND THE S...

PICHA; AISEE SIO MASIKHALA.

PICHA; MUIGIZAJI MPYA SCOTT EASTWOOD.(PICHA ZOTE KUTOKA Twitter.com)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni