visit here again on mukebez.blogspot.com


CHANGE YOUR LIFE

CHANGE YOUR LIFE
Go to Amazon .com and get the copy of this book to make your life better.

Jumapili, 24 Aprili 2016

HILI NI MOJA KATI YA MAMBO MABAYA WANAYOFANYA MASTAA#ONE OF BAD HABIT OF FAMOUS PEOPLE#

PICHA;MTOTO WA 50 CENT AKILIA BAADA YA KUKUTANA NA BABA YAKE KWA MALA YA KWANZA.

Mastaa wengi hususani vijana wamekuwa na tabia nyingi ambazo zimekuwa hazikubaliki katika jamii.Lakini wanapoulizwa wamekuwa wakijitetea kuwa wanaishi maisha ya kistaa.


Hivi karibuni Rapper maarufu 50 Cent alishuhudia mtoto wake wa tatu ambae alikutana nae kwa mala ya kwanza akitoa chozi la kutokuamini baada ya kukutana na baba yake kwa mala ya kwanza.Baada ya kuona mtoto wake huyo anatoa machozi 50 cent alisema maneno haya;
      "Maisha yangu yamejawa na mishangao,mtoto huyu mdogo
       ni mtoto wangu DAVIAN.Alianza kulia,nilikuwa najiuliza
       kwa nini unalia,lazima nitalipa kwa huu upuuzi niliofanya.LMAO".

Tabia za wasanii na watu maarufu kujihusisha katika mahusiano ya kimapenzi na wanawake au wanaume wa aina mbalimbali na kuachana nao inachangia sana watoto wengi kuzaliwa wakiwa hawana malezi ya baba zao au mama zao na hivyo kukosa malezi kamili wanayostahili.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni