visit here again on mukebez.blogspot.com


CHANGE YOUR LIFE

CHANGE YOUR LIFE
Go to Amazon .com and get the copy of this book to make your life better.

Alhamisi, 28 Aprili 2016

TAZAMA JINSI MTOTO HUYU ALIVYOSHAMBULIWA NA MBWA.


PICHA;MTOTO AKIWA AMEJERUHIWA VIBAYA.

Katika hali ya kushangaza mbwa amemshambulia na kumuumiza mtoto mdogo aliekuwa anatembea na baba yake huko Liverpool.Baada ya tukio hilo gari la kubebea wagonjwa liliitwa mala moja ili kumpeleka mtoto huyo hospital.


Familia Ya mtoto huyo iliamua kutoa picha za mtoto huyo ili kutoa onyo kwa familia nyingine kuwa makini na watoto wao na kutokuwaamini sana mbwa wanapokutana nao.Kutokana na hilo tumeamua pia kuziweka picha hizo hapa ingawa sio vizuri kistaarabu.Mtatuwia radhi kwa wale watakaokerwa na kitendo hicho.


Tuandikie maoni yako hapa kama una chochote cha ku share na sisi.Kuahare pia ni kujali,unaweza kushare machapisho yetu kwa kubonyeza vitufe hapa chini vya facebook na twitter.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni