visit here again on mukebez.blogspot.com


CHANGE YOUR LIFE

CHANGE YOUR LIFE
Go to Amazon .com and get the copy of this book to make your life better.

Ijumaa, 29 Aprili 2016

ANGALIA WALICHOFANYA COLUMBIA KWENYE ISHU YA NDOA YA JINSIA MOJA


PICHA;WANANCHI WAKISHANGILIA BAADA YA NDOA ZA JINSIA MOJA KUPITISHWA.



Mahakama kuu nchini Columbia imehalalisha ndoa za jinsia moja na kuifanya nchi hiyo kuwa nchi ya nne kati ya nchi za Latin Amerika ambazo zimeshafanya hivyo.Hapo mwanzo raia nchini humo walisharuhusiwa kuwa na mahusiano hayo ya jinsia moja lakini mahakama nchini humo ilikuwa bado haijapitisha ndoa hizo kisheria.

Nchi nyingine za Latin Amerika ambazo zimeshahalalisha mpango huo ni pamoja na Argentina,Brazil na Uruguay.

Unataka kutazama MUKEBEZI TV shuka chini kabisa katika blog hii utakutana na video mbalimbali katika  TV hiyo.Pia unaweza kutoa maoni yako kama umeguswa na habari hii pamoja na kushare facebook na twitter.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni