visit here again on mukebez.blogspot.com


CHANGE YOUR LIFE

CHANGE YOUR LIFE
Go to Amazon .com and get the copy of this book to make your life better.

Jumanne, 26 Aprili 2016

ANGALIA MCHEZAJI HUYU WA REICISTER CITY ALIVYONUSURIKA KUFA


PICHA;MHUDUMU AKIMSAIDIA DEMARAY GRAY.

Mchezaji Demaray Gray wa timu ya Reicister City amenusurika kukatwa vibaya au pengine hata kufa baada ya kukoswakoswa kukatwa vibaya na mapanga ya helcopter wakati akielekea kwenye utoaji wa zawadi za PFA siku ya jumapili.



Tukio hilo la kustua lilitokea baada ya mchezaji huyo kutokufuata maelekezo juu ya upande ambao alitakiwa kuelekea baada ya kushuka kwenye chopa hiyo na ndipo sekeseke hilo lilipotokea.Tazama baadhi ya picha hapa jinsi tukio hilo lilivyotokea.








Toa maoni yako hapa kama unalolote kuhusiana na habari hii.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni