visit here again on mukebez.blogspot.com


CHANGE YOUR LIFE

CHANGE YOUR LIFE
Go to Amazon .com and get the copy of this book to make your life better.

Jumanne, 26 Aprili 2016

ONA MCHUNGAJI ALICHOMFANYA HUYU JAMAA KAMA SEHEMU YA MAOMBI.


PICHA;CUTHBERT VICTOR ALIEMWAGIWA MAJI KAMA SEHEMU YA MAOMBI.


Mchungaji Nigel Morgan,mke wake Althea pamoja na mtoto wao wa kike Crystal wamefikishwa mahakamani baada ya kumwagia maji muumini wa kanisa lao bwana Cuthbert Victor kama sehemu ya maombi huko Jamaika.

Muumini huyo alisema kuwa alimwagiwa maji hayo usoni,kwenye mabega na mgongoni na madactari walimwambia kuwa aliungua sana kutokana na maji aliyomwagiwa kuchanganywa na mafuta.

Familia ya mchungaji huyo iko nnje kwa dhamana baada ya maamuzi kufanyika mahakamani siku ya tar 22 mwezii wa 4 mwaka huu.

Toa maoni yako kama una wazo lolote kuhusiana na taarifa hii.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni