visit here again on mukebez.blogspot.com


CHANGE YOUR LIFE

CHANGE YOUR LIFE
Go to Amazon .com and get the copy of this book to make your life better.

Jumamosi, 7 Juni 2014

DIAMOND ASHINDWA KUAMBULIA TUZO MTV

Tuzo ya mwisho alikuwa anawania Diamond kwenye MTV MAMA 2014 ilikuwa ni Best Male Artist lakini imechukuliwa na Davido. Leo Diamond alikuwa anawania tuzo mbili lakini hajafanikiwa kushinda kati ya hizo.
Tuzo ya best collabo ilitangazwa awali na imechukuliwa na Uhuru ft DJ Bucks,Oskido,Professor,Yuri Da Cunha na wimbo wa Y-tjukutja.
Hongera kwa watanzania kwa sapport yenu kwa Diamond.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni