visit here again on mukebez.blogspot.com


CHANGE YOUR LIFE

CHANGE YOUR LIFE
Go to Amazon .com and get the copy of this book to make your life better.

Jumanne, 28 Julai 2015

BINADAMU BWANA...ETI MARAIKA AMEDANDOKA HUKO UINGEREZA. TAZAMA PICHA HAPA



bonyeza hapa kutazama picha zaidi...






Kumukuwa na mjadala mkubwa sana katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo facebook kuwa huyu ni maraika wa kweli aliedondoka kutoka mbinguni.

Ukweli wa jambo hili ni kuwa hii ni kazi mahili kabisa ya wasanii wawili kutoka Beijin  China wanaoitwa Sun Yuan na Peng Yu ambao ni maarufu sana kwa sanaa zao..
Wasanii hao walitengeneza kitu hiki kwa kutumia vitu kama  fiberglass,stainless steel, silica gel and woven mesh na hatimae wakafanikiwa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni