visit here again on mukebez.blogspot.com


CHANGE YOUR LIFE

CHANGE YOUR LIFE
Go to Amazon .com and get the copy of this book to make your life better.

Ijumaa, 26 Juni 2015

MTU MMOJA AUAWA UFARANSA

Mtu mmoja amechinjwa na mwingine kujeruhiwa nchini Ufaransa na mvamizi mmoja aliekuwa akipeperusha kibendera cha kiislamu katika eneo lililofahamika kwa jina la Saint-Quentin-Fallavier.



Imefahamika kuwa mtu huyo aliuawa baaada ya vilipuzi kadhaa kutegwa katiika eneo hilo na muuaji alitupa kibendera hicho cha kiislamu baada ya kutekeleza mauaji hayo.
 
Waziri wa Ufaransa  Bernard Cazeneuveyuko njiani kuelekea kwenye eneo hilo  wakati Rais wa Ufaransa akitarajiwa kukatiza ziara ya ke ya viongozi wa bara la Ulaya kwaajili ya kulikabili janga hilo.

null

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni