PICHA;POPO AKIWA JUU YA MTI.
- Popo ndio mnyama pekee anaeweza kupaa angani.
- Dubu huweza kunusa au kuhisi chakula takribani maili 18
- Twiga hulala dakika ishirini tu kwa siku.
- Samaki aina ya papa hana mfumo wa mifupa.
- Tembo ndie mnyama pekee asieweza kuruka.
- Mbwa anatabia ya kupiga miayu mala tu amuonapo binadamu akipiga miayu.
- Kahawa inashika nafasi ya pili kwa bidhaa zinazouzika duniani.
- Brazili ndio nchi yenye wajapani wengi nje ya Japani.
- Asali ni moja kati ya vyakula visivyooza kabisa.
- Kina kirefu cha bahari kuna urefu zaidi ya mlima Everest.
- Mchekeshaji wa zamani Chrlie Champlin amaempita Adolph Hitler siku nne.
- Abraham Lincoln na Charles Darwin wamezaliwa tarehe moja ambayo ni Februal 12,1809.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni