MAHITAJI;
(I)CAUSTIC SODA
(II)MAFUTA YA NAZI,MISE,MBOSA AU MAWESE AU YA NYONYO
(III)MAJI
(IV)PAFYUM
(V)HYDROGEN PEROXIDE
(VI)CHUMVI KWAAJILI YA KUIFANYA SABUNI NZITO NA ISIISHE HARAKA
JINSI YA KUTENGENEZA;
HATUA YA KWANZA;
Loweka caustic soda kilo tatu kwenye maji lita 9 na unapaswa kutumia chombo cha bati na sio cha plastic.Koroga kwa muda wa dakika 15 na acha kwa muda wa siku 5.
HATUA YA PILI;
Chagua aina ya mafuta mojawapo ambayo umeyapata na anza kuchanganya sasa.Changanya caustic soda1 na mafuta lita 1 na nusu.changanya na gryceline vijiko viwili vya chakula.pafyumu kijiko kimoja cha chai.chumvi kijiko kimoja cha chakula.koroga kwa pamoja na uweke kwenye umbo na sabuni itakuwa tayari
Haya mpenzi msomaji fanyia kazi elimu hii ya bure na upigane na umaskini.tukutane wiki ijayo.
Kama unataka maelezo kuhusiana na duka au maduka ambayo vifaa vinapatikana tuwasiliane kwenye mdeonidas@yahoo.com au nifollow Instagram @mukebezi_blog halafu niulize swali lolote nitakujibu.Asanteni na pamoja tutashinda

Shukrani kwa somo la sabuni..hakika kupigana na umasikini ni lazima.Barikiwa.
JibuFutaYeeeeees.ubarikiwe sana tu.mimi wa kwanza ngoja nitume email yangu kaka.
JibuFutashukrani kwa elimu hii lakini nifahamishe kama kuna hatua nahitaji kuchemsha huu mchanganyo au la
JibuFutaakhsante kwa somo zuri
JibuFutaHapo kwenye mchanganyo hujasema iyo hydrogen inaingia wapi
JibuFutaNa hiyo costic hujasema inachanganywa kwa kipimo kipi yaan Lita au mini
Na unaposema costic kwenye mchanganyo unamaanisha ipi ile iliyovhamganywa au ambayo haijachanganywa .
Na kama ni ambayo haijachanganywa iliyochanganywa unaweka wapi
Sijaona pafyum inawekwa wakati gani
Wala hujasema kisha inakaushwa kwa style gani na kisha inafanywaje ili kupata niche au vipande kuogea
sijaona iyo hyrogen peroxide inachanganywa wapi
JibuFutahapo huja bainisha suala zjma la vipimo hata mpangilio huja uweka waz vzur tuna omba urudie
JibuFutaHydrogen peroxide tunaiweka wakati gani

JibuFutaThanks
JibuFuta