Kurasa

Alhamisi, 21 Aprili 2016

TAZAMA KITUKO HIKI KILICHOFANYWA NA NDEGE HAWA MBUGANI SERENGETI,TANZANIA(PICHA)




Picha hizi zinazoonesha ndege hawa wakipigania chakula zilizopigwa kwenye mbuga ya SELENGETI na mpigapicha maarufu Roie Galitz zimewashangaza wengi na zimekuwa gumzo kubwa sana mtandaoni kwa sasa.
Jambo la kushangaza ni kuwa mnyama waliokuwa wanampigania ndege huyo carcass alikuwa ni mkubwa kiasi kwamba wangeweza kula wote na kushiba.

Jambo lingine la kuchekesha ni kuwa wakati baadhi ya ndege wakipigana wengine waliitumia nafasi hiyo kula chakula na kushiba kabla na wao hawajatimuliwa.Unaweza kuzicheki picha hizi hapa na kufurahia kituko hichi kinachowakilisha vituko vingi vya wanyama katika mbuga zetu hususani za Tanzania.


Pia tunapaswa kutembelea mbuga zetu japo mala moja moja na kuwapeleka watoto wetu ili wakafurahie urithi wa nchi yao badala ya kuwaachia wageni ambao wanaenjoy na kupiga picha nzuri kama hizi



















Hahahaaa tunapaswa kutumia muda mwingine kwaajili ya kurelax na kufurahi sio muda wote tunawaza biashara na kazi tu. KAZI NJEMA.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni