Kurasa

Jumatatu, 25 Aprili 2016

TAZAMA JINSI MAJAMBAZI HAWA WALIVYOCHOMWA MOTO. (ONYO;PICHA HIZI SI ZA KAWAIDA)


PICHA;MOJA KATI YA WEZI AKIWA AMEUNGUA VIBAYA.

Katika hali ya kusikitisha na muendelezo wa raia kuchukua sheria mkononi,wawili kati ya majambazi saba waliokamatwa na wananchi walipigwa vibaya na hatimae kuchomwa moto huko Nigeria.



Majambazi hao waliripotiwa kuwa na tabia ya kuibia wananchi mala kwa mala na hivyo kuwafanya wananchi kuwatengenezea mtego ambao hatimae ulifanikiwa kuwanasa majambazi saba.Hizi ni baadhi ya picha zikionesha jinsi majambazi hao walivyoteketea kwa moto.

PICHA;INASIKITISHA SANA

PICHA;PAMOJA NA MOTO MAWE PIA YALITUMIKA KUMUONDOA MTU HUYU.

Tafadhari andika maoni yako hapo chini ili tujue unachowaza kuhusiana na habari hii.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni