Kurasa

Jumatano, 11 Juni 2014




BABA AMSHAMBULIA MKWE WAKE BAADA YA KUMSHUTUMU KUWA NA UHUSINO NA MUISLAMU
Baba mkwe mmoja amemshambulia mkwe wake na kumpofua macho baada ya kumtuhumu kuwa alikuwa na uhusiano na jamaa mmoja mwislamu huko Uingereza.
Hali ya msichana huyo alieshambuliwa sio nzuri kwani ana majeraha makubwa katika macho yake yaliyotokana na shambulizi hilo la mkwe wake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni