Kurasa

Jumatano, 11 Juni 2014

HIZI NDIO BAADHI YA TECHNOLOJIA ZITAKAZOTUMIKA KATIKA KOOMBE LA DUNIA MWAKA HUU





Miaka iliyopita kambe la dunia lilikumbwa na changamoto mbalimbali ikiwemo marefaree kukataa magori ambayo yalikuwa ni magori halali.
Kutokana na changamoto hizo katikamashindano ya kombe la dunia mwaka huu technolojia mbalimbali zinatarajiwa kutumika ili kupunguza baadhi ya changamoto ambazo zilijitokeza miaka iliyopita.Hizi ni baadhi ya technolojia hizo ambazo zinatarajiwa kutumika ikiwemo Kamera za kila gori,saa maalum ya refaree inayoashiria gori kama limefungwa pamoja na technolojia ya mstari wa gori.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni