Kurasa

Jumatano, 11 Juni 2014

HII NI MPYAAAAAAAAAAAAAA

MOTO MKUBWA WATEKETEZA SOKO LA KARUME DAR ES SALAAM

Taarifa zilizotufikia katika meza ya usiku zinasema kuwa moto huo ulianza kidogo kidogo katika baadhi ya vibanda ambavyo wenye navyo walikuwa hawapo, kabla ya kushika kasi na kuteketeza kila kitu kilichopo kwenye eneo hilo. Tunafuatilia kujua kama kuna watu walioathirika na moto huo pamoja hasara iliyopatikana na chanzo chake

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni