Kurasa

Jumanne, 13 Mei 2014

TAARIFA MUHIMU KUHUSIANA NA DENGUE.


INASHAURIWA NA WATAALAMU WA AFYA KUWA UNAPOONA DALILI ZOZOTE ZA UGONJWA WA DENGUE UANZE KWA KUMEZA DAWA YA KUTULIZA MAUMIVU AINA YA PANADOL NA SIO DICLOPER AU DICLOFENAC.ZINGATIAKWA KUWA NI RAHISI SANA KUKUMBWA NA UMAUTI KAMA UTAPUUZIA.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni