Kurasa

Jumanne, 13 Mei 2014

KIJANA WA BODABODA AUAWA WILAYANI KILINDI.


Habari na Gustaf Minja,Kilindi.
Kijana mmoja anayeitwa mwenjuma miaka 18 mjukuu wa samwavumbwe dereva bodaboda ameuawa usiku wa kuamkia leo eneo la tingetinge kwediboma. Cha kushangaza ni kuwa wahusika wa tukio hilo ambao wanasadikika kuwa ni majambazi hawakufanikiwa kumpora pikipiki yake baada ya marehem kutupa ufunguo porini.
Kwasasa maandalizi ya kuuzika mwili wa marehemu yanaendelea katika kijiji cha Kwediboma,wilaya ya Kilindi mkoani Tanga.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni