Kurasa

Jumatatu, 27 Januari 2014

ZIJUE HISTORIA ZA WASANII KATIKA PICHA

MTOTO HUYU KATIKA PICHA NI HEMED (PHD)AKIWA NA MAMA YAKE ENZI HIZO

PICHA HII INAMUONESHA HEMEDI NA MAMA YAKE WALIVYO SASA

PICHA HII NI YA NYUMBA ALIYOZALIWA LADY JAYDEE.KWA MUJIBU WA YEYE MWENYEWE ALIZALIWA NDANI YA NJUMBA HII NA SIO HOSPITALI

Natumai mmefurahia.Shukrani kwa Zamaradi na Lady Jaydee kutuwezesha kupata picha hizi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni