10.PINK
9.DREW BARRYMORE
8.HARRYBELLE
7.KELLY ROWLEND
6.JENNIFER LAWLENCE
5.JANE FONDA
4.ZOOEY DESCHANEL
3.AMANDA SYFRIED
2.KERRY WASHNGTON
1.GWYNETH PALTROW.
MPENZI MSOMAJI BADO NAENDELEA KUKULETEA ORODHA HIZI ILI UZIANGALIE KWA JICHO LA TATU,KWAMBA NI KWELI KATIKA HAO WOTE HAKUNA MUAFRIKA HATA MMOJA.JE HII INADHIHIRISHA KUWA KILA KITU WAAFRIKA NI WABAYA.HIZI NI SAIKOLOJIA TU.TUAMKE,TUJIJALI NA TUJIKUBALI,KUMBUKA MABARA YOTE WATU WEUPE ISIPOKUWA NI BARA LA AFRIKA TU NDIO KUNA RANGI TOFAUTI,KWANINI HATUJIVUNII KWA HILO?
KARIBU SANA MUKEBEZI BLOG #SAUTI YA WATU#. BLOG YA HABARI ZISIZO ZA KAWAIDA NA UJASIRIAMALI INAYOONGOZA TANZANIA.
Jumatano, 29 Januari 2014
MAMA WA MBUNGE WA MAFIA AFARIKI DUNIA
Mama wa mbunge wa mafia na makamo mwenyekiti wa kamati ya ardhi,maliasili na utalii na kamishna wa tume ya utumishi wa bunge,Mheshimiwa Abdulkarim Shah,Bi Fatma Abdulkarim Mussa amefariki dunia tarehe 28 januari huko Chennai India.
Mama huyo amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda kidogo na anatarajiwa kusafirishwa kurejeshwa nchini Tanzania kwaajili ya maziko yatakayofanyika siku ya ijumaa ya tarehe 31 saa saba mchana.
Mwili wa marehemu unatarajiwa kuwasili ncini tarehe 30 january kwa ndege ya shirika la ndege la emirate saa 9 alasiri.
MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHARI PEMA PEPONI.AMEN.

MAHAKAMA YAMUACHIA KIBANDA HURU
Na vitendo issa
Mahakama ya kisutu leo imemwachia huru mhariri mtendaji mkuu wa New Habari (2006), Absalom Kibanda na wenzake wawili, Samsoni Mwigamba, mwandishi wa gazeti la Tanzani Daima na Theophili Makunga meneja uendeshaji biashara wa kampuni ya Mwananchi Communication Limited,dhidi ya kesi iliyokuwa inawakabili.
Kibanda na wenzake walikuwa wanakabiliwa na kesi ya uchochezi dhidi ya askari wa jeshi la ulinzi kwa kuchapisha makala kwenye gazeti la Tanzania Daima yenye maneno yaliyolenga kushawishi kutowatii viongozi wao.
Waandishi mbalimbali walioudhulia kesi hiyo walionyesha kuwa wenye furaha mara baada ya ukumu hiyo kutolewa kutokana na matukio mbalimbali yaliyokuwa yanajitokeza karibuni yanayoashiria kuwa uhuru wa vyombo vya habari hauzingatiwi ipasavyo Tanzania.
PICHA MBALIMBALI ZA KIBANDA

Jumanne, 28 Januari 2014
WANAFANANA
TUFANYE YETU TANZANIA
MCHAGUE THE MOST BEAUTFUL GIRL KATIKA BONGO MUVIE & THE MOST HANDSOME MAN. ANDIKA JINA MOJA MFANO JOICE KWENDA NAMBA 0654627227,JINA MOJA LA KIUME NA JINA MOJA LA KIKE.
MATOKEO YATACHAPISHWA KATIKA UKURASA HUUHUU.
KWA WALE WALIOKO MIKOANI NA WANAHISI WANAHABARI ZAO WANGEPENDA ZIWAFIKIE WANANCHI UNAWEZA KUTUCHEKI KATIKA NAMBA HIYO HAPO AU KUTUMA HABARI YAKO KATIKA EMAIL mdeonidas@yahoo.com.Hakikisha habari yako ina picha za tukio za kutosha

ARSENAL WAVUTWA SHATI
Viongozi wa ligi ya uingereza timu ya soka Arsenal jana walijikuta wakipoteza point mbili baada ya kukubali kutoka sale na timu ya soka ya Southompton.
Timu hiyo ya southompton ndio iliyokuwa ya kwanza kupata bao kupitia mchezaji wake Jose Fonte,baada ya kuunganisha cross kali iliyotoka kwa mchezaji Luke Shaw.
Hadi kipindi cha kwanza kinamalizika ubao ulikuwa unasomeka kuwa ni moja kwa sifuri.
Kipindi cha pilli kilianza kwa kasi,Arsenal wakishambulia kwa nguvu zote kuhakikisha kuwa wanarudisha gori na pengine kupata lingine la ushindi,na juhudi zao zilionekana dakika ya 48 wakati Bakari Sagna alipochonnga cross kali iliyounganishwa moja kwa moja gorini na mchezaji Olivia Giriud.
Iliwachukua tena Arsenal dakika nne tu kufunga bao la pili kupitia mchezaji wake Saint Carzola baada ya kupiga shuti lililomzidi nguvu goal keeper wa Southampton na kufanya ubao usomeke 2-1 mpaka kufikia dakika ya 52.
Sherehe ya magori katika mechi hiyo ilifungwa dakika ya 52 wakati Adam Lallana alipofunga goli la kusawazisha baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa mchezaji mwenzake Jay Rodriges na kuuvurumisha langoni mwa Arsenal na kukamilisha kalamu hiyo.
Katika mechi hiyo Arsena walijikuta wakicheza pungufu kuanzia dakika ya 80 baada ya mchezaji wao Matheau Flamin kupewa kadi nyekundu iliyotokana na kumchezea rafu ya miguu miwili mchezaji wa timu pinzani Morgan Shneiderlin
Matokei ya mechi nyingine zilizochezwa jana ni;
MANCHESTER UNITED 2-0 CARDIFF
SWANSEA 2-0 FULHAM
CRISTAL PALACE 1-0 HULL CITY
NORWICH CITY 0-0 NEWCASTLE

MAFURIKO MOROGORO YAMEIKUMBUSHA SERIKALI JUKUMU LAO
Moja katika majukumu ya serikali yaliyoorodheshwa katika katiba ni kuwapatia wananchi huduma ya chakula,Hii ni moja kati ya huduma za jamii ambazo serikali inapaswa kulitekeleza siku zote ambazo inakuwa madarakani.Cha kushangaza ni kuwa serikali huwa inasubiri majanga makubwa kama hili lililotokea juzijuzi mkoani Morogoro la mafuriko.
Shukrani kwa Rais JK kuwaagiza watumishi kuhakikisha kuwa waathirika wanapata chakura kutoka kwenye maghara ya serikali.
Lengo la kipengere hiki ni kutaka kuwakumbusha kuwa matatizo ya njaa katika jamii yapo kila siku,na ni jukumu la serikali kutafuta nani ana njaa na kuhakikisha kuwa anapata chakula.
Niwape pole sana wale walioathiriwa na mafuriko pale Morogoro na kuwapa moyo kuwa Serikali yao haijawatupa na msaada wa kutosha unatarajiwa ili kuyapunguza maumivua ambayo yalitarajiwa
.
Baadhi ya picha zikionesha tukio la mafuriko Morogoro na madhara yaliyojitokeza.

Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)

.jpg)