PICHA ZA MTO RUVU UKIWA UMETAPIKA NJIA KUU YA MIKOANI NA KUSHINDWA KUJUA MWISHO WA NJIA HIYO KUU YA KUINGIA NA KUTOKA DAR ES SALAAM.
DAKIKA ZA MWANZA WAKATI DARAJA LA KUUNGANISHA DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO LINAVUNJIKA.
MUNGU TUEPUSHE NA MAFURIKO ZAIDI.
KARIBU SANA MUKEBEZI BLOG #SAUTI YA WATU#. BLOG YA HABARI ZISIZO ZA KAWAIDA NA UJASIRIAMALI INAYOONGOZA TANZANIA.
Jumatano, 16 Aprili 2014
KWELI MUNGU NI WA AJABU SANA!HUYU JAMAA KAPONA!!!!!!!!
Jana ilitokea ajari ya gari ndogo kuangukiwa na roli la mchanga na kwa jinsi hali ilivyokuwa kila mtu alijua kuwa jamaa atakuwa amebadilrika kuwa chapati kutokana na kupondwa na roli hila.Cha ajabu na cha kushangaza ni kuwa jamaa huyo hajaumia popote na ni mzima wa afya isipokuwa kidole chake ambacho kiliumia kidogo tu.Hii inashangaza sana.TAZAMA PICHA ZA JAMAA HUYO NA AJARI YENYEWE.
Kuanzia ajari ilipotokea mpaka jamaa alipotoka.

PICHA YA LEO
Kuvunjika kwa mpini sio mwisho wa uhunzi,jamaa hawa wanaendelea kujifariji na mafuriko kwa kupata moja moto moja baridi.
Pita huko kwnye maji lete nyingine waiter.hahahaaaa!hatari sana

DIAMOND ATOBOA SIRI KUWA ANA MTOTO ALIPOKUWA ANAHOJIWA NA MTANDAO WA NIGERIA
Nani aliyekuwa anafahamu kuwa Diamond Platnumz ni baba? Well, hatujawahi kumsikia popote akisema kuwa ana mtoto lakini staa huyo wa ‘My Number One’ alikuwa mkarimu wa kutosha kuweza kuelezea ‘furaha ya kuwa mzazi’ kwenye mahojiano aliyofanya na mtandao maarufu wa Nigeria uitwao Lobatan Africa baada ya kwenda huko wiki kadhaa zilizopita alikoshirikishwa pia na mastaa wa huko wakiwemo Waje na Dr Sid.
Kwenye mahojiano hayo, mtandao huo ulimuuliza: What have you learnt about fatherhood, now that you’re a father (umejifunza nini kuhusu ubaba kwakuwa sasa wewe ni baba)
Diamond alijibu: Fatherhood is a great experience, very humbling. You learn a lot about your children and the kids and the kinds of things they love. For example, my baby loves this cartoon that has a catchy song, I think Ben10. Hahaha!! (Kuwa baba ni kitu kikubwa, kinavutia sana. Unajifunza mengi kuhusu watoto wako na vitu wanavyopenda. Kwa mfano ‘mwanangu’ anapenda katuni hii yenye wimbo unaogusa, nadhani Ben 10!
Kumbe Diamond ana mtoto tena mkubwa anayeweza kuangalia na kuelewa katuni? Swali ni kwanini hajawahi kusikika akisema ana mtoto? Hata hivyo September mwaka jana, moja ya magazeti ya udaku ya kampuni ya Global Publisher, yaliandika habari ya kuibuka kwa msichana aitwaye Sasha Juma aliyedai kuwa amezaa na Diamond.
Sasha akiwa na mtoto anayedai ni wa Diamond
Msichana huyo alidai kuwa likutana na Diamond Mlimani City jijini Dar es Salaam na akampenda kwakuwa anafanana na Wema Sepetu (kipindi hicho walikuwa wameachana. Gazeti hili lilisema wawili hao hawakuchukua muda na wakaanza uhusiano uliowafanya wakutane kimwili na kupelekea msichana huyo kushika ujauzito.
Lilidai asha alimpa taarifa staa huyo ambaye alimuomba asitoe mimba kwakuwa atamsomesha msichana huyo aliyefukuzwa shuleni na pia kuahidi kumlea mtoto huyo.
“Ni kweli nimezaa na Diamond. Mtoto ana miezi mitatu sasa. Unajua yeye ndiye alinikatisha masomo na kusema kuwa ataniendeleza na atamlea mtoto hivyo alivyokaa kimya sikuona tena sababu ya kumfuatilia kwa vile kwetu napata kila kitu,” gazeti hilo lilimnukuu Sasha.
Lilisema lilipomtafuta Diamond kwa simu ambaye kwa sasa yupo nchini Kenya, alijibu: Hahahaaa…mbona hiyo ishu ni kubwa sana kwangu! Ukweli huyo mwanamke simjui kabisa. Lete stori nyingine achana na hiyo.”
So kama Diamond ana mtoto, huenda aliamua kumkubali mtoto huyu na pengine ndiye mtoto huyu anayependa kuangalia katuni ya Ben 10!
DIAMOND ATOBOA SIRI KUWA ANA MTOTO ALIPOKUWA ANAHOJIWA NA MTANDAO WA NIGERIA
Nani aliyekuwa anafahamu kuwa Diamond Platnumz ni baba? Well, hatujawahi kumsikia popote akisema kuwa ana mtoto lakini staa huyo wa ‘My Number One’ alikuwa mkarimu wa kutosha kuweza kuelezea ‘furaha ya kuwa mzazi’ kwenye mahojiano aliyofanya na mtandao maarufu wa Nigeria uitwao Lobatan Africa baada ya kwenda huko wiki kadhaa zilizopita alikoshirikishwa pia na mastaa wa huko wakiwemo Waje na Dr Sid.
Kwenye mahojiano hayo, mtandao huo ulimuuliza: What have you learnt about fatherhood, now that you’re a father (umejifunza nini kuhusu ubaba kwakuwa sasa wewe ni baba)
Diamond alijibu: Fatherhood is a great experience, very humbling. You learn a lot about your children and the kids and the kinds of things they love. For example, my baby loves this cartoon that has a catchy song, I think Ben10. Hahaha!! (Kuwa baba ni kitu kikubwa, kinavutia sana. Unajifunza mengi kuhusu watoto wako na vitu wanavyopenda. Kwa mfano ‘mwanangu’ anapenda katuni hii yenye wimbo unaogusa, nadhani Ben 10!
Kumbe Diamond ana mtoto tena mkubwa anayeweza kuangalia na kuelewa katuni? Swali ni kwanini hajawahi kusikika akisema ana mtoto? Hata hivyo September mwaka jana, moja ya magazeti ya udaku ya kampuni ya Global Publisher, yaliandika habari ya kuibuka kwa msichana aitwaye Sasha Juma aliyedai kuwa amezaa na Diamond.
Sasha akiwa na mtoto anayedai ni wa Diamond
Msichana huyo alidai kuwa likutana na Diamond Mlimani City jijini Dar es Salaam na akampenda kwakuwa anafanana na Wema Sepetu (kipindi hicho walikuwa wameachana. Gazeti hili lilisema wawili hao hawakuchukua muda na wakaanza uhusiano uliowafanya wakutane kimwili na kupelekea msichana huyo kushika ujauzito.
Lilidai asha alimpa taarifa staa huyo ambaye alimuomba asitoe mimba kwakuwa atamsomesha msichana huyo aliyefukuzwa shuleni na pia kuahidi kumlea mtoto huyo.
“Ni kweli nimezaa na Diamond. Mtoto ana miezi mitatu sasa. Unajua yeye ndiye alinikatisha masomo na kusema kuwa ataniendeleza na atamlea mtoto hivyo alivyokaa kimya sikuona tena sababu ya kumfuatilia kwa vile kwetu napata kila kitu,” gazeti hilo lilimnukuu Sasha.
Lilisema lilipomtafuta Diamond kwa simu ambaye kwa sasa yupo nchini Kenya, alijibu: Hahahaaa…mbona hiyo ishu ni kubwa sana kwangu! Ukweli huyo mwanamke simjui kabisa.

JESHI LA POLISI LIMETANGAZA ZAWADI YA TSH.MILION 10 KWA WEWE MWENYE TAARIFA ZA MHUSIKA WA BOMU ARUSHA
Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza zawadi ya Tsh.Milion 10 kwa mtu atakayewezesha kupatikana kwa wahusika walioshiriki mlipuko wa bomu lililolipuka Arusha,Bomu hilo lililipuka mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye bar ya Arusha Night Park ambalo lilisababisha majeruhi kadhaa.
Mkurugenzi wa makosa ya jinai Tanzania Dci Isaya Mgula amesema uchunguzi wa awali uliofanywa na wataalam wa mabomu kutoka Jwtz na Jeshi la Polisi Tanzania umebaini bomu hilo limetengenezwa kienyeji mbali na hilo lililolipuka Jeshi la Polisi pia lilibaini bomu lingine lililokuwa kwenye mkoba uliokua umeeegeshwa pembeni ya kiti kwenye bar jirani ya Washingto
HUU NI UKATIRI ULIOPITILIZA.
Haimuingii akilini mtu yoyote aliesoma na asiekwenda shule kabisa kuona baadhi ya watanzania (na mimi nashawishika kusema kuwa mtu anaekuwa na ujasiri wa kutenda kitendo hiki sio mtanzania halisi)wanafanya vitendo vya kusikitisha kama hivi.
Hakuna mtu asiejua umuhimu wa twiga katika nchi hii ukiachilia mbali kuwa ni nembo ya taifa,jambo ambalo linatosha kuwa waangalifu sana katika kuwalinda wanyama hawa kwani kuwa nembo maana yake ni kuwa wanyama hawa wanapopotea na Tanzania inapotea katika utambulisho wake kimataifa.
Nimesema maneno haya kwa uchungu na hasira baada ya mtu mmoja asie kuwa na hata chembe ya huruma kumgonga na kumuua twiga katika hifadhi ya wanyama ya Katavi tukio ambalo linasikitisha sana.
Twiga huyo ambae anaonekana kuwa alikuwa anavuka barabara aligongwa na mtu huyo ambae hajafahamika ni nani na gari yake ni ya aina gani.Jambo hili ni la makusudi kwasababu unapofika katika hifadhi lazima ujue kuwa wanyama huwa wanakatiza kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine.Pia hakuna asiemfahamu twiga ambae ni mnyama mpole na mwenye mwendo wa taratibu sana kwa hiyo dereva yoyote anaejua kuwa mahari anapopita pana twiga angepunguza mwendo kwa tahadhari.Matukio haya ni mabaya sana na yanapaswa kulaaniwa kwa nguvu zote.
Picha hizi zinamuonesha twiga akiwa amekufa baada ya kugongwa na gari na mtu asiefahamika akitazamwa na maafisa wa wanyama pori TANAPA.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)

.jpg)

.jpg)