Kurasa

Jumatano, 27 Aprili 2016

WAOW!! HATIMAE TANZANIA TUMESHIKA NAFASI YA PILI KWENYE HILI!.


PICHA;RIPOTI YA SHIRIKA LA FEDHA DUNIANI.


Tanzania imeshika nafasi ya pili katika nchi 15 zinazokua kwa kasi kiuchumi nchini Afrika.Kwa mujibu wa Shirika la Fedha duniani IMF Tanzania imeshika nafasi ya pili katika orodha hiyo huku nchi ya Ivory Coast ikikamata nafasi ya kwanza.Pia nchi za Nigeria na Afrika Kusini hazipo kabisa katika orodha hiyo kitu kinachoibua mshangao.

Tuandikie maoni yako hapa chini.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni