Kurasa

Jumapili, 24 Aprili 2016

UBONGO WA MWANAMIELEKA HUYU KUTOLEWA KWA WANASAYANSI# THE BRAIN OF THIS WRESTLER TO BE DONATED FOR SCIENCE RESEARCH#


PICHA;CHYNA, MWANAMIELEKA WA ZAMANI WA WWE.

Ubongo wa manamieleka wa zamani wa WWE mwanadada CHYNA aliekutwa akiwa amefariki dunia katika apartment yake siku ya jumatano utatolewa kwa ajili ya uchunguzi wa kisayansi.



Akizungumza na waandishi wa habari Meneja wa mwanamieleka huyo wa kike bwana Anthony Azaldo alisema kuwa ubongo wa mwanadada huyo utatolewa kwaajili ya uchunguzi wa kisayansi kubaini madhara yanayotokea katika ubongo kutokana na mchezo wa mieleka yakilinganishwa na madhara yanayotokea kutokana na ukatili unaotokea majumbani.

Baadhi ya wanamieleka ambao pia wameweka hadhalani kuwa watakapokufa ubongo wao unaweza kutumika katika shughuli za kisayansi ni pamoja na JOHN CENA,JEFF HARDY,KEVIN NASH Pamoja na MICK FOLEY.

Andika maoni yako hapo chini nasi tunakuhakikishia kuyapitia na kuyajibu kama kutakuwa na maswali ndani yake.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni