Kurasa

Jumanne, 26 Aprili 2016

NINA UHAKIKA MENGI KATI YA MAMBO HAYA HUYAFAHAMU.


Black flying fox bat hangs upside down in a tree
PICHA;POPO AKIWA JUU YA MTI.
  • Popo ndio mnyama pekee anaeweza kupaa angani.
  • Dubu huweza kunusa au kuhisi chakula takribani maili 18
  • Twiga hulala dakika ishirini tu kwa siku.
  • Samaki aina ya papa hana mfumo wa mifupa.
  • Tembo ndie mnyama pekee asieweza kuruka.
  • Mbwa anatabia ya kupiga miayu mala tu amuonapo binadamu akipiga miayu.
  • Kahawa inashika nafasi ya pili kwa bidhaa zinazouzika duniani.
  • Brazili ndio nchi yenye wajapani wengi nje ya Japani.
  • Asali ni moja kati ya vyakula visivyooza kabisa.
  • Kina kirefu cha bahari kuna urefu zaidi ya mlima Everest.
  • Mchekeshaji wa zamani Chrlie Champlin amaempita Adolph Hitler siku nne.
  • Abraham Lincoln na Charles Darwin wamezaliwa tarehe moja ambayo ni Februal 12,1809.
Tuandikie maoni yako hapa chini au pia unaweza ku share post zetu kupitia facebook pamoja na twitter.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni