Kurasa

Jumapili, 24 Aprili 2016

BIASHARA INAHITAJI UMAKINI,TAZAMA KICHWA HIKI KILIVYOHARIBU BIASHARA(PICHA)


PICHA;KICHWA CHA KUKU KILICHOKUTWA KWENYE CHAKULA.



Kama nilivyotangulia kusema kila kitu unachokifanya hakikisha unaweka umakini wako wote hapo.Kichwa hiki cha kuku kilikutwa kwenye chakula na wateja katika mgahawa mmoja huko Ufaransa na wakaipost facebook na kusema tmekuta uchafu huu katika chakula tulichonunua mgahawa fulani huko ufaransa.(jina kapuni).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni