Kurasa

Jumatano, 8 Julai 2015

MWANAUME MWENYE UMRI MKUBWA ZAIDI DUNIANI AFARIKI DUNIA

Mwanaume mzee zaidi duniani anaefahamika kwa jina la Sakari Momoi ameaga dunia mjini Tokyo Japan akiwa na umri wa miaka 112.
bonyeza hapa kusoma zaidi...



Mwanaume huyo ambae nnhi raia wa Japan na ambae alitambuliwa na kitabu cha world records cha guines mwezi august mwaka huu alikuwa mwalimu wa shule ya upili na baba wa watoto watano.

Momoi alizaliwa mwaka 1903 mjini Fukushima na amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya figo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni