Kurasa

Jumanne, 23 Juni 2015

MTU MBAYA KULIKO WOTE UGANDA APATA MTOTO

 
Godfrey Baguma, 47, mwanaume ambae anadaiwa kuwa ndio mwenye sura mbaya kuliko wote nchini Uganda amejipatia mtoto wake wa nane na mke wake wa pili anaefahamika kwa jina la, Kate Namanda mwenye umri wa miaka 30.Jamaa huyo amejipatia mtoto wa kike mapema wiki hii na ameonekana kufurahia sana ujio huo wa mtoto wake.



Akisimulia jinsi alivyokutana na mwanamke huyo anasema alikaa nae kwa muda mrefu kidogo na ndugu wa mwanamke huyo hawakujua alipo mpaka pale alipopata ujauzito jambo analoliongelea kuwa alifanya hivyo kwa kuwa alihofia ndugu wangemshauri mwanamke huyo kuachana nae.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni