Kurasa

Alhamisi, 28 Mei 2015

JINSI YA KUTENGENEZA DAWA YA KUSAFISHA VIOO


Dawa hii hutengenezwa kwa kutumia malighafi tatu ikiwemo sabuni ya maji, maji yenyewe pamoja na vinegar.



Katika kutengeneza dawa hii unapaswa kuandaa chombo chenye ukubwa wa plastik  ambapo utaweka maji lita kumi,sabuni ya maji lita moja pamoja na vinegar lita tatu.

Baada ya mchanganyiko huo utakoroga kwa dakika zisizopungua ishirini na tano na dawa yako itakuwa tayari kwaajili ya matumizi.Asante.

Kwa mawasiliano tumia namba yangu ya watsapp 0654 627227.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni