Kurasa

Jumapili, 1 Juni 2014

MASKINI:MAMA MZAZI WA MBUNGE WA KIGOMA KASKAZINI ZITO KABWE AFARIKI DUNIA

Ni taarifa nilizopata asubuhi ya June 1 2014 kuhusu kifo cha mama mzazi wa mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe aitwae Bi Shida ambapo aliethibitisha kifo hicho ni Zitto Kabwe mwenyewe.
MUKEBEZI BLOGinampa pole Zitto Kabwe kwa kipindi hiki kigumu cha kumpoteza mama, Mungu ampe nguvu katika kipindi hiki cha majonzi na taratibu zote za msiba tutakuletea

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni