Kurasa

Ijumaa, 27 Juni 2014

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA KUFULIA YA MAJIVU

Hii ni moja kati ya sbuni ambazo ainatumika sana hususani Afrika kutokana na jinsi ambavyo ni rahisi kupatikana.
Malighafi zake ni majivu ya kuni, mafuta ya nazi au ya mawese au ya nyonyo,Glyceline,chumvi kwaajili ya kuleta uzito pamoja na magadi soda.

JINSI YA KUTENGENEZA;



Chemsha majivu ya kuni vizuri ki

HATUA YA PILI;Chukua magadi soda kilo 6 na uloweke kwenye maji lita 14.Viache pamoja kwa siku 4 ukiwa unakoroga asubuhi na jioni kwa kutumia chombo cha bati au alminium unapokoroga.

HATUA YA TATU;Changanya majivu lita tatu na maji ya magadi soda lita 3 na ukoroge kwa muda wa dakika10.Endelea kukoroga na tumbukiza chumvi vijiko6 vya chakula,mafuta lita mbili huku ukikoroga baada ya muda huo unaweza kuweka kwenye umbo kwaajili ya kutengeneza miche.


Asante sana kwa kuendelea kuwa nami.Kama unataka taarifa zaidi,au kama hujaelewa unataka kueleweshwa zaidi,ikiwa ni pamoja na kujua mahali ambapo unaweza kupata vifaa vya kutengenezea pamoja na kutengeneza pamoja kwa njia ya simu hatua ya kwanza mpaka ya mwisho,unaweza kupata yote hayo kwa malipo kidogo tu ya shilingi elfu mbili ambazo utanitumia kwa tigo pesa baada ya kunipigia simu na baada ya hapo kila kitu kitakuwa sawa.Huna haja ya kupanda gari kwenda kwenye seminar,jifunze ukiwa nyumbani kitechnolojia.TUMIA NAMBA YANGU YA SIMU HAPO PEMBENI KUWASILIANA NA MIMI.

NEXT TIME

Maoni 1 :