Kurasa

Jumapili, 18 Mei 2014

STARS IMESHINDA LAKINI KAZI BADO NGUMU

Mechi kati ya Tanzania na Zimbabwe imemalizika kwa matokeo ya ushindi wa goli la Taifa Stars huku Zimbabwe ikitoka bila kupata chochote ambapo goli la stars lilifungwa na John Bocco katika dakika ya 15..

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni