Kurasa

Ijumaa, 16 Mei 2014

KENYA YARIPUKA MABOMU TENA.


Milipuko miwili imetokea nchini Kenya karibu na soko kubwa la nguo la Gikomba lililoko mjini Nairobi na kujeruhi baadhi ya watu ingawa kuna hofu kuwa kuna watu walipoteza maisha.
Milipuko hii inatokea siku moja baada ya nchi ya Uingereza kuwataka raia wake warudi nchini humo kutokana na hofu ya kukosekana usalama nchini Kenya.
Endelea Kutembelea Mukebezi blog uendelee kuhabalika kuhusiana na habari zaidi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni