Kurasa

Jumatatu, 12 Mei 2014

ASHLEY COLE AMGOME HOGSON KUCHEZEA ENGLAND

Wakati yakiwa yamebakia masaa machache kabla ya kocha Roy Hodgson hajatangaza kikosi cha hatua ya kwanza kitakachoenda Brazil kushiriki michuano ya kombe la dunia, beki wa kimatafa wa nchi hiyo na timu ya Chelsea Ashley Cole ametangaza kustaafu kucheza la kimataifa.
Muda mchache baada ya mchezo wa jana dhidi ya Cardiff kuisha, Cole alitumia mtandao wa Twitter kutangaza adhma yake ya kuachana na soka la kimataifa baada ya kufanya mazungumzo na kocha Roy Hodgson.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni