Kurasa

Jumatano, 23 Aprili 2014

JAY ZE NA BEYONCE WASEMA NO HARUSI YA KANYE WEST.

Wednesday, April 23, 2014
Beyonce na Jay Z hawatahudhuria harusi ya Kanye na Kim
Mwezi uliopita (March) kulikuwa na tetetsi kuwa Jay Z ametupilia mpali ombi la Kanye West kumtaka kuwa best man kwenye harusi yake, sasa kuna habari zinazosema kuwa Jay Zhana hat ampango wa kutokea kabisa kwenye harusi yao.
Chanzo kinadai kuw Jay angeweza kutokea kama isingekuwa ni public event, na kuwepo kwa camera nyingi za E pamoja na kutokea kwenye reality show (keeping up with the kardashians).
badala yake ripoti zinadai kuwa Jay na Beyonce watamkodishia yatch kwa akili ya honymoon yao kwa thamani ya paund 100,000 kama zawadi ya harusi yao pamoja na kudondosha bonge la party ndani ya 40/40 club iliyoko NY

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni