Kurasa

Jumatano, 29 Januari 2014

MAMA WA MBUNGE WA MAFIA AFARIKI DUNIA

Mama wa mbunge wa mafia na makamo mwenyekiti wa kamati ya ardhi,maliasili na utalii na kamishna wa tume ya utumishi wa bunge,Mheshimiwa Abdulkarim Shah,Bi Fatma Abdulkarim Mussa amefariki dunia tarehe 28 januari huko Chennai India.

Mama huyo amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda kidogo na anatarajiwa kusafirishwa kurejeshwa nchini Tanzania kwaajili ya maziko yatakayofanyika siku ya ijumaa ya tarehe 31 saa saba mchana.

Mwili wa marehemu unatarajiwa kuwasili ncini tarehe 30 january kwa ndege ya shirika la ndege la emirate saa 9 alasiri.

MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHARI PEMA PEPONI.AMEN.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni