Kurasa

Ijumaa, 15 Aprili 2016

JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI ZA MICHE #HOW TO MAKE BAR SOAP#

MAHITAJI;

(I)CAUSTIC SODA
(II)MAFUTA YA NAZI,MISE,MBOSA AU MAWESE AU YA NYONYO
(III)MAJI
(IV)PAFYUM
(V)HYDROGEN PEROXIDE
(VI)CHUMVI KWAAJILI YA KUIFANYA SABUNI NZITO NA ISIISHE HARAKA

JINSI YA KUTENGENEZA;



HATUA YA KWANZA;
Loweka caustic soda kilo tatu kwenye maji lita 9 na unapaswa kutumia chombo cha bati na sio cha plastic.Koroga kwa muda wa dakika 15 na acha kwa muda wa siku 5.

HATUA YA PILI;
Chagua aina ya mafuta mojawapo ambayo umeyapata na anza kuchanganya sasa.Changanya caustic soda1 na mafuta lita 1 na nusu.changanya na gryceline vijiko viwili vya chakula.pafyumu kijiko kimoja cha chai.chumvi kijiko kimoja cha chakula.koroga kwa pamoja na uweke kwenye umbo na sabuni itakuwa tayari

Haya mpenzi msomaji fanyia kazi elimu hii ya bure na upigane na umaskini.tukutane wiki ijayo.

Kama unataka maelezo kuhusiana na duka au maduka ambayo vifaa vinapatikana tuwasiliane kwenye mdeonidas@yahoo.com au nifollow Instagram @mukebezi_blog halafu niulize swali lolote nitakujibu.Asanteni na pamoja tutashinda

Maoni 11 :

  1. Shukrani kwa somo la sabuni..hakika kupigana na umasikini ni lazima.Barikiwa.

    JibuFuta
  2. Yeeeeees.ubarikiwe sana tu.mimi wa kwanza ngoja nitume email yangu kaka.

    JibuFuta
  3. shukrani kwa elimu hii lakini nifahamishe kama kuna hatua nahitaji kuchemsha huu mchanganyo au la

    JibuFuta
  4. Hapo kwenye mchanganyo hujasema iyo hydrogen inaingia wapi
    Na hiyo costic hujasema inachanganywa kwa kipimo kipi yaan Lita au mini
    Na unaposema costic kwenye mchanganyo unamaanisha ipi ile iliyovhamganywa au ambayo haijachanganywa .
    Na kama ni ambayo haijachanganywa iliyochanganywa unaweka wapi

    Sijaona pafyum inawekwa wakati gani
    Wala hujasema kisha inakaushwa kwa style gani na kisha inafanywaje ili kupata niche au vipande kuogea

    JibuFuta
  5. sijaona iyo hyrogen peroxide inachanganywa wapi

    JibuFuta
  6. hapo huja bainisha suala zjma la vipimo hata mpangilio huja uweka waz vzur tuna omba urudie

    JibuFuta
  7. Hydrogen peroxide tunaiweka wakati gani

    JibuFuta
  8. Hydrogen peroxide tunaiweka wakati gani

    JibuFuta
  9. Hydrogen peroxide tunaiweka wakati gani

    JibuFuta