Kurasa

SOMA HADITHI HII YA KUSISIMUA.'' ZAWADI''

         MOJA 1

        Walitembea kwa uangalifu kila mmoja akiwa makini kuangalia eneo zuri ambalo angalau litafanana au litakaribia kufanana na eneo la mwanzo.Akiwa na mawazo mengi juu ya umaskini uliokithiri katika familia yake,juu ya jinsi ambavyo mtoto wake wa kike ambae kwa wakati huo ndio kwanza alikuwa na mwaka mmoja atakavyoishi bila matatizo,na jinsi ya kuwakwepa polisi ambao ndio walikuwa kikwazo kikubwa katika biashara yao,mzee John aliweza kuona mto mkubwa ambao ulikuwa na maji yaliyokuwa yanateremka taratibu kuelekea bondeni.
          Alimshika mkono mke wake mama Jeni ambae wakati huo alikuwa amembeba motto wao wa pekee Jeni mgongoni,wakasogea karibu kabisa na mto huo ambao ulionekan kuwa mkubwa kuliko mto wa mwanzo.
          Wiki moja iliyopita mzee John na wenzake walitimuliwa kutoka katika eneo lao ambalo walizoea kutengeneza  pombe haramu aina ya chang’aa au Gongo na maafisa wa polisi ambao walipewa habari ya kuwepo kwa eneo hilo na raia ambae alipita katika harakati zake na kugundua maficho hayo ambayo yalikuwa na mitambo na mapipa mengi sana kwaajili ya kazi maalum ya kuchemsha gongo.
          “Nafikiri hapa panafaa” alisema mzee John.
          “Sana tena pamejificha kuliko eneo la mwanzo” Mama Jeni alimuunga mkono mume wake.
          Mzee John aliendelea kukagua eneo zuri ambalo lingefaa zaidi kwa kazi yao kando yam to huo.Wakati huo mama Jeni aliamua kusogea karibu na maji ili amsafishe Jeni ambae alianza kulia kwa sauti kutokana na kuwashwa na mkojo ambao ulilowanisha nguo zake na za mama yake.
          Mama Jeni alifungua kanga aliyokuwa amembebea Jeni na ambayo aliifunga kwa utaalamu wa asili ili kumfanya motto wake asiweze kudondoka kutoka mgongoni.Alimshusha Jeni kutoka mgongoni ambae wakati huo alionekana kufurahia kutokana na kuhisi kilio chake kilikuwa kimesikiwa na mama yake.
          Akiwa katika harakati za kumsafisha Jeni mama Jeni ghafla aliona kitu kama msumeno kikiubana mguu wake wa kushoto.kabla hajatafakari cha kufanya debwana lile lilianza kumvuta mzima mzima kuelekea mtoni.
          “Mama wee!!” Baba Jeni  aliisikia sauti hiyo akiwa tayari yuko mbali sana na eneo la tukio.Alijitahidi kuishinikiza miguu yake imbibe kadri inavyoweza kuelekea mahari walipokuwa mama Jeni na motto wake wa pekee Jeni.Akiwa bado yuko mbali aliweza kumuona mkewe ambae alikuwa amemkumbatia motto wake Jeni kwa makini na huku akipambana biloa mafanikio kujitoa katika midomo ya wanyama wale aina ya mamba ambao sasa walikuwa wawili na ambao hawakuwa tayari kuliachia windo lao asubuhi ile.
          Mzee John alifika na kumchukua Jeni kutoka katika mikono ya mama yake na kumlaza pembeni kidogo yam to ule mbali kidogo na eneo lile.Kwa bahati mbaya ilikuwa kama Jeni ndio alikuwa anaongeza uzito na moyo wa kupambana kwa mama yake kwani baada ya kuondolewa kwenye mikono ya mama yake,mama Jeni nguvu zilimuishia na ikawa rahisi kwa mamba wawili wakubwa kumvutia mama Jeni mtoni.
          Wakati mzee John anarudi baada ya kumlaza motto pembeni ili aweze  kumsaidia mke wake alishuhudia kichwa cha mkewe kikitokeza kwenye maji ghafla na kuzama moja kwa moja na hakuweza kumuona tena.
          Bila kutafakari mzee John alijitosa kwenye maji ili kumtafuta mkewe.Kwa bahati mbaya mzee John hakufahamu kina cha mto ule na hakuwa na ujuzi wowote wa kuogelea hivyo alipoingia mtoni moja kwa moja alijikuta anamezwa na maji ambayo hakuweza  kupambana nayo.
          Maji yale yalimtoa nje mala ya kwanza na mala ya pili,mala ya tatu alishukia kwenye mdomo wa mamba ambao waligombania supu na minofu ya mwili wa mzee John kama wana njaa ya siku tano.
          Mto ulibadilika na kuwa na rangi nyekundu na eneo lile lilitoa harufu ya damu.Lilikuwa ni tukio la kutisha na lililotokea kwa haraka sana.
          Mtoto Jeni baada ya kusubiri kwa muda uvumilivu ulimshinda na akaanza kulia kwa sauti kali bila mafanikio.Kwa muda wa nusu saa nzima Jeni alilia mpaka sauti ikawa hafifu na hatimae alipitiwa na usingizi na kulala.

MBILI 2.

          Akiwa hana mume wala motto na ambae aliamua kuishi maisha ya upweke kutokana na matatizo ambayo alishakumbana nayo zamani bi Zainabu alikuwa akipitapita msituni kujiokotea kuni kwaajili ya kwenda kujipikia chakula baada ya kazi nzito ya kulima kijishamba kidogo kilichokuwa nyuma ya kibanda chake kilichoezekwa kwa manyasi.Hakuwa na wazo lolote juu ya ambacho angekiona kule alikokuwa anaelekea zaidi ya kuni tu.
          Ghafla kwa mbali aliweza kuona kitu kama jiwe lilikiwa pembeni yam to.Aliposogea karibu zaidi alishangaa kuona mtoto mzuri mwenye afya njema akiwa amelala usingizi mzito................................................................................................ITAENDELEA.

TUNAKARIBISHA WACHAPISHAJI KUCHAPISHA KITABU KINACHOHUSIANA NA HADITHI HII NDEFU NA TAMU.PIGA SIMU TUANDIKIE UJUMBE KWENYE 0654627227 NASI TUTAKUPIGIA AU mdeonidas@gmail.com. KARIBUNI SANA.

KUMBUKA;HADITHI HII INA HAKI MILIKI.HAIRUHUSIWI KUKOPI AU KUIGIZWA MAHALI POPOTE BILA RUHUSA YA DEONIDAS MUKEBEZI MMILIKI.

Maoni 4 :

  1. Maisha yangu Maajabu yanashangaza ushuhuda, Jinsi nimepata kisanduku chenye nguvu sana ambacho sasa ni pesa yangu mara mbili kutoka mia hadi elfu ya pesa ndani ya masaa 24, na pia jinsi nimerudisha mpenzi wangu wa zamani, sababu kuu niliwasiliana na Dk Lomi kwa msaada mimi kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, basi ananisaidia ni nguvu kubwa ya kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, na ananipenda na ananithamini sasa, basi mimi na Dr Lomi tukawa marafiki, baada ya mazungumzo kadhaa namuuliza ikiwa kuna njia anaweza kuniganga ili nipate pesa, hapo ndipo aliponiambia juu ya sanduku hili la uchawi, akaniambia kuna aina na saizi tofauti ya sanduku, aliniambia aina zote za sanduku, ningeweza kumudu ndogo tu ya sanduku, baada ya maombi muhimu anayofanya kwenye sanduku, ananipeleka kupitia huduma ya kujifungua, aliniambia niweke pesa ndani, niliweka ndani ya sanduku 100 euro baada ya masaa 24 nikagundua ilikuwa elfu 10 euro ndani, na nimekuwa nikitumia sanduku kwa miezi 7 sasa, mimi na mchumba wangu tunaishi maisha bora, ikiwa unahitaji b ack mpenzi wako au pesa spell wasiliana na Dr Lomi kwa barua pepe: lomiultimatetemple@gmail.com au WhatsApp namba +2349034287285 unaweza pia kumwandikia kupitia Jina la Mtumiaji la Snapchat: drlomi20 atakusaidia nje, asante kwa kusoma

    Kwaheri Gerd Ulrich

    JibuFuta
  2. Sikuamini kuwa ningeweza kuungana tena na mpenzi wangu wa zamani, nilipatwa na kiwewe nikiwa nimesimama peke yangu bila mwili kusimama na mimi na kuwa nami, lakini nilipata bahati sana siku moja nilikutana na mchawi huyu wa hodari Dk. ASUBUHI, baada ya kumueleza hali yangu alifanya kila liwezekanalo kumuona mpenzi wangu anarudi kwangu, kweli baada ya kunifanyia uchawi mpenzi wangu wa zamani alirudi kwangu chini ya masaa 48, mpenzi wangu wa zamani alirudi akiniomba kuwa hatawahi. niache tena, miezi 3 baadaye tulioana na kuoana, ikiwa pia una hali sawa. Ana nguvu nyingi katika mambo yake;
    *penda uchawi
    * kama unataka ex wako nyuma
    * Acha talaka
    *kuvunja mawazo
    * huponya viharusi na magonjwa yote
    * uchawi wa ulinzi
    *Ugumba na matatizo ya ujauzito
    Wasiliana na Dk DAWN kwa barua pepe yake: dawnacuna314@gmail.com
    Whatsapp: +2349046229159

    JibuFuta
  3. Mume wangu amerudi!!! Baada ya miaka 1 ya ndoa iliyovunjika, mume wangu aliniacha na watoto wawili na maisha yangu yalivunjika. Nilitaka kuyamaliza, nusura nijiue maana alituacha bila chochote. Nimekuwa nimevunjika kihisia wakati huu wote na maisha yanaonekana kutokuwa na maana. Siku moja mwaminifu, nilipokuwa nikivinjari mtandao, nilikutana na baadhi ya shuhuda kuhusu Dk DAWN. Baadhi ya watu walishuhudia kwamba alimrudisha mpenzi wao wa zamani, wengine walishuhudia kwamba anarejesha tumbo na kuponya magonjwa kwa mimea. Nilipendezwa zaidi na upatanisho na mume wangu, ambao Dk. DAWN aliwezesha kumrudisha mume wangu ndani ya siku 3. Sasa mume wangu amerudi na tumekuwa tukiishi kwa furaha tangu wakati huo. Shukrani zote kwa Dk DAWN. Hapa, ninaacha mawasiliano yake kwa kila mtu. Maana kuna changamoto za aina yoyote,
    Barua pepe ( dawnacuna314@gmail.com )
    Whatsapp: +2349046229159

    JibuFuta
  4. Kwa zaidi ya miaka 13 ya ndoa sikuweza kuzaa, naendelea kuharibika hata nikipata mimba, madaktari wote hawakuweza kunisaidia, hadi dada yangu akanielekeza kwa Dr DAWN, ambaye alinisaidia nikapata ujauzito na sasa hivi kuwa na mtoto mzuri wa kike,
    Anasaidia pia marafiki zangu wengi niliowaelekeza, Dr DAWN ni baraka kwa kila mtu anayewasiliana naye,
    *Kama unataka kupata mimba.
    *Ukitaka kuacha kuharibika kwa mimba.
    *Ukitaka kumrudisha mpenzi wako.
    *Kama unataka mume/mkeo arudishwe.
    *Kama unataka kurejesha mali yako iliyoibiwa au Pesa.
    *Ukitaka kutibu aina yoyote ya ugonjwa,
    Wasiliana naye kwa WhatsApp: +2349046229159

    JibuFuta