Kurasa

Jumatano, 27 Aprili 2016

UVIMBE HUU WA KILO 15!, MADAKTARI WALIWEZA!!?


PICHA;UVIMBE WA KILO 15 KABLA HAUJATOLEWA.



Madaktari katika eneo la Chegdu nchini China wamefanikiwa kutoa uvimbe uliokadiliwa kuwa na kilo 15 kutoka kwa mwanaume mmoja aliefahamika kwa jina la Zhang kutoka mji wa Leshan.Mwanaume huyo anasadikika kuishi na uvimbe huo wa ajabu takribani miaka kumi iliyokuwa ya maumivu na mateso.


Tuandikie comment yako hapa nasi hatutasita kuipitia.Pia unaweza kushare machapisho yetu kupitia facebook pamoja na Twitter.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni