Kurasa

Jumapili, 1 Juni 2014

VURUGU KUBWA ZATOKEA KATIKA UZINDUZI WA EFM RADIO MWEMBEYANGA

VURUGU kubwa zimetokea katika Viwanja vya Mwembeyanga, Temeke jijini Dar wakati wa tamasha la uzinduzi wa redio mpya ya EFM.
Vurugu hizo zilizuka wakati burudani zikiendelea baada ya wananchi kuanza kurusha mawe na askari kuamua kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya.
Kutokana na vurugu hizo, tamasha halikuweza kuendelea na inadaiwa baadhi ya watu wamejeruhiwa kwenye vurugu hizo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni