Kurasa

Jumatano, 11 Juni 2014

KAMBI YA ENGLAND YAVAMIWA

Mashabiki watatu wa England walimefanikiwa kupenya na kuingi’oa kwenye hoteli iliyofikia timu hiyo jijini Rio na kukutana na kocha na wachezaji baada ya kuwaomba walinzi kwamba wanataka kuingia chooni.
Andy Richardson (, 22), Alex Hill, (20), na Josh Pearce, (19), waliingia kwenyeatika kambi ya England iliyopo katika Hhoteli ya Royal Tulip Hotel baada ya kufanikiwa kuwapita askari 20 wenye silaha 20, na kupiga picha na wachezaji wote.
Watatu hao walikunywa bia kidogo kabla ya kukutana na Steven Gerrard na wenzake na kuwaomba wapige picha na nyota hao wa England.
Gerrard, Frank Lampard, Daniel Sturridge, Joe Hart na Leighton Baines wote walikubalia kupiga picha hizo za kumbukumbu za Kombe la Dunia.
Baada ya kumazungumzo marafiki hao watatu walishangilia kwa kunywa bia na kula chakula na kuondoka wakitumia mlango wa mbele wa hoteli hiyo.
Mmoja wao aWa
lisema: “‘Nilipojua kikosi cha England kimewasili Rio nilitoka kitandani na kuanza kutafuta wapi walipofikia.
‘Tuliwapata sehemu inayoitwa Royal Tulip. Dereva wa taxi kwanza alitupeleka Royal Rio Hotel lakini tuliwakosa.”
BBC

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni