Kurasa

Jumatatu, 19 Mei 2014

TUKIO HILI LA RAIS KULIA KWENYE TV SIO LA KAWAIDA

Imetokea kwa rais wa Korea Kaskazini Park Geun-hye akilihutubia taifa kuhusu kivuko kilichozama April 16 2014 na kuua watu wapatao 300 huku wengi wao wakitajwa kuwa Wanafunzi ambapo kwenye hii hotuba rais aliomba radhi kwa uzembe uliofanyika kwenye vikosi vya uokoaji.
Jumapili iliyopita Rais huyu alihudhuria ibada kanisani kuwaombea waliofariki kwenye ajali lakini pia alikutana na ndugu waliopoteza watoto/ndugu zao kwenye kivuko hicho ambapo waliozembea wanaadhibiwa sheria.
Miili 286 ilipatikana lakini mpaka sasa 18 haijaonekana, watu 172 wakiwemo 22 Wafanyakazi wa kivuko hicho kati ya 29 walinusurika kwenye ajali hii.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni