Kurasa

Jumatano, 7 Mei 2014

NIKKI WA PILI ANAKUJA TENA!


Mshindi wa tuzo ya wimbo bora wa Hip hop Nikki wa pili leo ametoa cover ambayo inamaanisha ujio wake mwingine unaofuata baada ya Nje ya box ambayo ilitoka siku ya Valentine February 14 2013,ingawa katikati kuna single kadhaa zimetoka kwa kundi kama Weusi ambao nao ndiyo wameibuka na ushindi wa kundi bora 2013/2014.
Wimbo unaitwa Sitaki kazi haijafahamika bado kilichoimbwa ndani ni nini ila kilichoelekezwa ni tarehe rasmi ya kuachiwa kwa wimbo huo ambao itakua ni Mei 13 na imetengenezwa na producer yule yule

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni