Kurasa

Jumatano, 7 Mei 2014

HUJAWAHI KUYAFAHAMU MAENEO HAYA YA AJABU DUNIANI.


ENEO HILI LIKO UTURUKI



HAYA NI MAPOROMOKO YA IGUAZA BRAZIL,UNAKUMBUKA MUVIE GANI HAPA?
HUU NI MTO UNAOPATIKAN NDANI YA ARDHI,UKO MEXICO.
HII NI BLOW HOLE IKO ARIZONA MAREKANI.
BABA GURGUR IRAQ.ENEO LENYE MAFUTA MENGI KULIKO YOTE NA LINALOWAKA MOTO KUTOKA NDANI YA ARDHI WAKATI WOTE,
PANGO LINALOSADIKIKA KUWA KUBWA KULIKO YOTE,LIKO VIETNUM.
ENEO LENYE MAJI YENYE RANGI YA PINKI NA YENYE CHUMVI KULIKO YOTE,LIKO GHANA.
ENEO HILI ZURI LINASABABISHWA NA MMOMONYOKO WA CALCIUM,LOKO CHILE.
HII NI MILIMA YA UPINDE WA MVUA INAPATIKANA CHINA.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni