KARIBU SANA MUKEBEZI BLOG #SAUTI YA WATU#.
BLOG YA HABARI ZISIZO ZA KAWAIDA NA UJASIRIAMALI INAYOONGOZA TANZANIA.
Kurasa
▼
Alhamisi, 15 Mei 2014
BREAKING NEWS:STAR WA MUZIKI WA DANCE AMINA NGALUMA A.K.A CHINESE AFARIKI DUNIA.
Aliekuwa muimbaji wa muziki wa dance nchini na ambae amewahi kutamba na kibao cha mgumba alichoimba na Mwenjuma Muumini,Amina Ngaluma amefariki dunia jioni ya leo akiwa nje ya nchi.
Habari zinasema kuwa Amina aliugua muda mrefu kabla umauti haujamfika
Taarifa zaidi za msiba huu tutawaletea kwa jinsi ambavyo zitakuwa zinapatikana.Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.Amina
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni