Kurasa

Jumatatu, 7 Aprili 2014

TAZAMA LIST YA MOVIE 9 BORA ZA MAZOMBI DUNIANI


9.28 DAYS LATER.

Movie iliyochezwa na CILIAN MURPHY NA WENGINE WENGI inaongelea virusi wa ajabu ambao walisambaa Marekani na hawakuwa na dawa,



8.THE EXORCIST.
Inaongelea mtoto mdogo alieingiliwa na shetani kichwani na akawa anafanya mambo ya ajabu na ya kutisha mpaka wazazi wake walipomtafutia ma priest.Imechezwa na Ellen Burstain


7.SAW.
Mchezo wa kifo ambao lazima jamaa wawili waucheze la sivyo wanapata matatizo.Imechezwa na Cal Elwes.


6.ZOMBIE LAND.
Inamuongelea kijana ambae alikuwa na aibu na alikuwa anarudi nyumbani akajikuta anapita kwenye eneo la mazombi.Imechezwa na Jesse Eisenbeg


5.CLOVERFIELD.iNAONGELEA KIUMBE CHA AJABU KILICHOVAMIA NEWYORK.
4.PSYCHO.

3SHAUN OF THE DEAD

2.ALIEN.
Inaongelea kiumbe cha ajabu aliegundulika kuvamia dunia kutoka sayari nyingine.

1.THE SHINING.
Imechezwa na stanley Kubrick.Inaongelea familia ambayo ilipanga hotel kwa mapumziko lakini bahati mbaya hotel ile ilikuwa na mashetani yakamuingia baba akaanza kufanya mambo ya ajabu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni