Kurasa

Jumatatu, 21 Aprili 2014

POLENI KALAMBO!INAHUZUNISHA SANA

Monday, April 21, 2014 TANZIA: MKUU WA WILAYA YA KALAMBO AFARIKI DUNIA Mkuu wa Wilaya ya Kalambo enzi za uhai wake Mhe. Moshi Mussa Chang'a ambae amefariki dunia jioni ya leo katika Hospitali ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugojwa wa shinikizo la damu na Kisukari. Taratibu za mazishi zitatangazwa mapema mara baada ya kikao cha wanandugu. Tunatoa pole kwa wale wote walioguswa na msiba huu. Sisi tulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi. Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe. AMIN (Na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa) Monday, April 21, 2014

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni