Kurasa

Jumanne, 22 Aprili 2014

NEWSSSS:MASKINI MOYES SASA NI RASMI BYE BYE UKOCHA MANCHESTER.

Kocha David Moyes ameondolewa rasmi kwenye majukumu yake ya ukocha katika klabu ya Manchester United. Taarifa rasmi ya klabu hiyo imetolewa kupitia mtandao wa Twitter wa timu ya manchester united……

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni