Kurasa

Jumatatu, 21 Aprili 2014

NEWS:AJALI,AJALI,WATU WENGI SANA WAMEKUFA SOMA UJIONEE

Monday, April 21, 2014
NEW ALERT: AJALI MWANZA WATU ZAIDI YA 20 WAFARIKI PAPO HAPO
Zaidi ya watu 20 wamefariki dunia papo hapo na wengine wengi kujeruhiwa, baada ya basi la LUWULE walilokuwa wakisafiria kutoka Musoma kwenda Mwanza kuacha njia, kugonga nyumba na kupinduka katika kijiji cha Itwimila wilaya ya Busega.
Chanzo East Africa Television (EATV)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni